CHUYAM CHUYAE: HUYU NDIYE MUSTAPHA J KIROBOTO, MWANDISHI WA SCRIP...
CHUYAM CHUYAE: HUYU NDIYE MUSTAPHA J KIROBOTO, MWANDISHI WA SCRIP...: click here to Follow him on facebook /Mustapha Kiroboto Wito wa pili ulipenya masikioni kwangu taratibu nakunifany...
CHUYAM CHUYAE: MTOTO WA AISHWARYA RAI AWA MAARUFU KULIKO WAZAZI W...
CHUYAM CHUYAE: MTOTO WA AISHWARYA RAI AWA MAARUFU KULIKO WAZAZI W...: Aaradhya Bachchan mtoto wa masupa staa wa bollywood aishwarya rai na abshek hawa gumzo sana katika vyombo vingi vya habari huku kila ha...
HUYU NDIYE MUSTAPHA J KIROBOTO, MWANDISHI WA SCRIPT.........KAMA HAUMJUI JARIBU KUMSOMA.
click here to Follow him on facebook /Mustapha Kiroboto
Wito
wa pili ulipenya masikioni kwangu taratibu nakunifanya nifungue macho
yangu, sikutambua kwanini nililala, nika kutana na sura ya Anita,
binti mrembo sana aliewahi kuwa mpenzi wangu moyo ulini ripuka sana na
kuhisi ganzi ikiniandama mwili mzima, Anita alitabasam huku akiwa
ameniinamia, kana kwamba alikuwa akisubiri kuongea nami, nilitaka kuamka
nikagundua kuwa sikua na uwezo wa kufanya hivyo,
kwani nilijihisi kama mtu nisie na mwili, kwa haraka nikajua mwili
wangu umekufa ganzi ndio maana siusikii kuni sapot kwa ninacjokitaka,
kitu cha ajabu eneo lile lilikuwa limetawaliwa na giza lenye kuzuia nuru
ya macho, kuangaza upande wa kulia kwangu nikamuona mzee manata, (Babu
yangu mzaa mama,, tuliemzika miaka sita iliyopita) hofu ikanizidi
nikaanza kuhisi baridi kali sana maeneo ya kifua, nilipotaka kunyanyua
mkono wangu ili nikiguse kifua changu nikajihisi kama sina mikono, Anita
alisikitika kisha akaniambia "subiri Amon bado hawaja kuzika" kauli ya
Anita ilinifanya nijihisi hali ambayo sikuwahi kuihisi tangu kuumbwa
kwangu, Kusema ukweli niliamini kuwa nipo ndotoni, na yale mazingira ya
eneo lile nikahisi kuwa ile ni ndoto tena ya kutisha, "Anita" nilimuita
kwa sauti ambayo sikuwahi kuiongea, siluelewa ni kwanini kinywa changu
kimetoa sauti ile, Anita akanituliza kisha akaniambia kuwa "bado ndugu
zako hawajakuzika, hebu tulia ili mwili wako ukufikie ukiwa kamili kwani
maisha ya huku ukiwa na upungufu wa kiungo chochote ni tabu sana ndio
maana mungu anawarudishia viungo hata walemavu wa duniani pindi
wanapifika sehemu hii" sikumuelewa kabisaa, kwani nipo wapi? Nilimuuliza
anita Anita akamuangali mzee manata kisha mzee manata akavuka upande wa
pili na kunisogezea kitu mfano wa shuka jeusi lililojaa vumbi, punde
nikaiona hali ya Dunia kwenye ile shuka na wala haikufanana na sinema
bali ilikua ni live, nikaonyeshwa nyumbani kwa baba yangu mzazi watu
wakiwa wamejaa sana, wengine wanalia, nikaziona gari zangu tatu zimepaki
nje mbele ya gari moja ya kubebea abiria wapo madereva wa magari ya
kampuni yangu wanachangishana hela wakiwa na huzuni sana mmoja ameshika
kitabu, muda mfupi niliziona gari sita zinaingia eneo lile moja ni gari
ya kubebea maiti, nilijiuliza nani amefariki nyumbani kwa baba yangu?
nikaamini tukio la msiba ndilo lililonifanya nipoteze faham na kufika
eneo nililopo, lakini ni wapi nilipo? mbona pako tofauti na maisha ya
kawaida? Wakati naendelea kujiuliza nilishangaa kumuona mke wangu
kipenzi, mama furaha akitelemka toka garini kinamama majirani wamemshika
akiwa hajiwezi, Analia kupitiliza, Dada zangu na mama yangu nao
walikuwa hawajiwezi kwa kulia, tena walilia huku wakitaja jina langu eti
nimekwenda nimewaacha, nilishikwa na butwaa nikiwa sielewi ninachokiona
kinamaanisha nini, mara tena nikamuona Jeremia mdogo wangu anatelemka
garini na kukumbatiana na baba yangu mzazi kisha akazunguruka nyuma ya
gari akajiinamia na kuanza kulia, vijana akiwepo dany condacta wa moja
ya magari ya kampuni yangu wakamzunguruka na kuanza kumfariji eti
ajikaze kazi ya mungu haina makosa, nikawaona vijana kadhaa wameongozwa
na kaka yangu mkubwa wakaiendea ile gari ya kubebea maiti, kauli moja
aliyoiongea kaka ilinishitua eti alisema "Ndugu yangu kupata mafanikio
kidogo tu wamemuondoa Duniani" kisha akaanza kulia, sikuwahi kumuona
kaka yangu akilia hata siku moja misiba yote iliyopita, huu msiba ni
wanani? Nilijiuliza bila wakunijibu, punde kijana mmoja alitelemsha
msaraba ulioandikwa Amin Austane themiss, nilishangaa kuona jina langu
kwenye ule msaraba, vijana wengine wakisaidiana na kaka yangu wakaanza
kuteremsha jeneza,ila cha ajabu walipolinyanyua tu lile jeneza nika
hisi kama nimenyanyuliwa mimi nikiwa ndani ya kitu ambacho siwezi
kujizuia kinapoinamia upande mmoja, nilimsikia kaka yangu akisema
"bebeni vizuri msiinamishe upande mmoja" mara nikajikuta nimekaa sawa
ila nikijihisi kubebwa juu juu bado.
MTOTO WA AISHWARYA RAI AWA MAARUFU KULIKO WAZAZI WAKE
Aaradhya Bachchan mtoto wa masupa staa wa bollywood aishwarya rai na abshek hawa gumzo sana katika vyombo vingi vya habari huku kila hatua moja ikiwa inafatiliwa.
Akiwa amevalia pink alionekana ametokelezea sana, baadhi ya vyombo vya haabari vikiripoti mtoto ni noma na nguo zinamkaa sana.
FILAMU ZA KIHINDI: KAMA HUJAIONA ANGALIA SASA.......JOHNDAY
Ni filamu ya kusisimua sana iliyotaarishwa na
Anjum Rizvi, Aatef A Khan and K Asif huku
Ahishor Solomon akiwa mwandishi na muongozaji wa filamu hii.
Kwa upamde wa vinara ni mtu mzima
Naseeruddin Shah huku akiwa na Randeep Hooda,Vipin Sharma, Shernaz Patel, Sharat Saxena na Elena Kazan.
si ya kukosa!!!!!
MPYA KUTOKA BONGO MOVIES

“Jamal”, askari jeshi mwenye cheo cha sajenti, baada ya kusota sana bila kazi kutokana na kufukuzwa jeshini hatimaye anakutana na kocha Joramu ambaye alikuwa kocha wake wa mchezo wa ngumi(boxing) alipokuwa jeshini na anampa Jamal mwongozo wa maisha. Jamal anafurahia mafanikio yake yanayomuunganisha tena na familia yakae lakingi ghafla….???

Uzembe ni kitu kidogo unaweza kuleta madhara makubwa katika maisha kila jambo lafaa kufanyija kiumakini…Fuatilia kisa hiki cha ANTI-VIRUS...
Ndoa inaweza kuwa ndoa, ndoa inaweza kuwa ndoano. Mazoea mabaya katika ndoa yanaweza kukufanya ujisahau mwanzoni lakini yakifika shingoni...

Wawili wakisha pendana kwamwe hakuna wakuwatenganisha...
Fitina .Uongo na hata roho mbaya haziwezi fanya lolote katika hili….Fuatilia
FILAMU ZA KIHINDI ZINAZOONGOZA KWA MAUZO
1. CHENNAI EXPRESS
Directed by Rohit Shetty
cast: Shahrukh Khan and Deepika Padukone.
2. 3 IDIOTS
Directed by Rajkumar Hirani
cast: Aamir Khan, Kareena Kapoor.
3.EK THA TIGER
cast: Salman Khan and Katrina Kaif
Directed by Kabir Khan
4.
Yeh Jawaani Hai Deewani
cast: Ranbir Kapoor and Deepika
directed by Ayan Mukerji
5. DABAANG2
cast: Salman Khan
Directed by Arbazz Khan
UNAMKUMBUKA ANJALI MTOTO KATIKA KUCH KUCH HOTA HAE
Huyu ni yule mtoto aliigiza kama mtoto wa SHAHRUKH KHAN aliyezaliwa kisha mama yake RANI anafariki. Alipofikisha miaka 8 anapewa kitabu alichoachiwa na mama yake kinachohusu hadithi ya baba yake na rafiki wa baba yake KAJOL.
Miaka imesogea sasa na katoto kamekuwa kikubwa, mwaka jana amecheza movie ya STUDENT OF THE YEAR akitumia jina la TANYA.

WASTARA IS BACK!
Wastara mwanaamke shujaa aliyepigana na misukosuko mingi katika maisha yake, mwanamke mfano wa kuigwa baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na msiba wa mumewe kipenzi marehemu SAJUKI sasa amerudi tena katika tanisia hii ya filamu.Binafsi namkubaki sana katika fani hii ya filamu na hata katika maisha yake kiujumla. Watanzania ni muda wa kukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya. NUNUA NAKALA YAKO HALISI YA FILAMU YAKE MPYA "SHYAMAA"
FILAMU 100 KALI ZA KIHINDI ZILIZOTIKISA KUWA NA "LOVE STORY" KALI
Bollywood imekuwa maarufu sana duniani kutokana na kuwa na hadithi nzuri za mapenzi katika filamu zao. Tanisia hii ya filamu ina miaka mingi sana nchini humo yapata miaka mia moja, hebu angalia filamu 100 kali za mapenzi za kihindi toka miaka hiyo.
100. Umraao Jaan

99. Rangeela

98. Kashmir Ki Kali

97. Barsaat (Raj kapoor Starrer)

96. Zindagi na Milegi Dobara

95. Dev D

94. Student of the Year

93. Socha Naa Tha

92. Kabhie Khushi Kabhie Gham

91. Ram Teri Ganga Maili

90. Jeet

89. Judaai

88. Devdas

87. Arth

86. Hero

85. Betaab

84. Hum hai Raahi Pyaar Ke

83. Pardes

82. Julie

81. Kabhie Haan Kabhie Naa

80. Kaagaj Ke Phool

79. Aradhana

78. Aawara

77. Paakeeja

76. Shree 420

75. 1942: A Love Story

74. Choti Si Baat

73. Vicky Donor

72. Kabhi alvida Na Kehna

71. Bobby

70. Teri Meri Kaahani

69. Ishq

68. Dil Se

67. Deewana

66. My Name is Khan

65. Salam Namastey

64. Prem Rog

63. Saathiya

62. Love Aaj Kal

61. Ghulam

60. Padosan

59. Ishqzade

58. Taal

57. Pyaar to Hona Hi tha

56. Chalte Chalte

55. Lamhe

54. Sahib Bibi Aur Ghulam

53. Sadak

52. Parineeta

51. Aashiqui 2

50. Sadma

49. Jodha Akbar

48. Hum Tum

47. Kal Ho Naa Ho

46. Rab Ne Bana Di Jodi

45. Om Shanti Om

44. Dil to Paagal Hai

43. Chandni

42. Guide

41. Kabhie Kabhie

40. Daag: A Poem of Love

39. Jab Tak Hai Jaan

38. Dil Chahta Hai

37. Fanna

36. Barfi

35. Mohabbatein

34. Darr

33. Silsila

32. Raja Hindustani

31. Dil

30. Love Story

29. Dil Hai Ke Manta Nahi

28. Madhumati

27. Rockstar

26. Maine Pyaar Kiya

25. Mughal E Azam

24. Jaane… Tu yaa Jaane Na
23. Pyaasa

22. Jab We Met

21. Rehna Hai Tere Dil Mein

20. Vivah

19. Ajab Prem Ki Ghajab Kahani

18. Ashiqui

17. Ek Duje Ke Liye

16. Kaho naa…Pyaar Hai

15. Aawarapan

14. Ghajini

13. Kuch Kuch Hota Hai

12. Jannat

11. Veer-Jara

10. Bombay

9. Saajan

8. Qayamat Se Qayamat Tak

7. Hum dil De Chuke Sanam

6. Tere Naam

5. Namastey London

4. Gadar: Ek Prem Katha

3. Dhadkan

2. Hum aapke Hai Kaun

1. Dilwaale Dulhaniya Le Jaayenge

matokeo haya ni kwa mujibu wa tovuti ya http://filmschoolwtf.com
Subscribe to:
Posts (Atom)














