change the language of a blog

KUTOKA BOLLYWOOD: UCHAFU WA HRITHIK ROSHAN "KRRISH" WAMFANYA MKEWE KUMWAGA MANYANGA

NI HALI ISIYOVUMILIKA kwa mwanamama Suzanne kwa mumewe Hrithik Roshan almaarufu "KRRISH" kama wengi wanavyomfahamu kupitia filamu yake hiyo.
Mkasa ulianza katika filamu ya KITE aliyocheza na mwanadada Barbara Mori "RUBY", baada ya scene kali za kimahaba ndipo Hrithik aliamua kuzama kabisa na kuiacha ndoa yake ikiteketea.
Hakuna lolote lililosemwa kutika katika familia ya ROSHAN lakini kuna uwezekano mkubwa wa Hrithik kuhama na kumwacha Suzanne katika nyumba yao kutokana kuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya Suzanne na familia ya ROSHAN
Hrithik-Suzanne divorce: Roshans to throw Hrithik out! (view pics)

ILIKUWA NI SIKU MUHIMU SANA KWANGU

Chuyam chuyae, upande wa kulia nikiwa na ndugu yangu Abdul Mdug wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha sayansi na teknoloji Mbeya

Wa kwanza kulia, Swahibu akifatiwa na Marry Isaka, wa katikati ni Chuyam Chuyae huku Glory elisante akiwa karibu naye na wa kwanza kushoto ni Nelson

was very fun in graduation, computer engineering wasnt easy but i made it

UMEZIONA HIZI?