change the language of a blog

MPYA KUTOKA BONGO MOVIES

Lost Dream (Ndoto iliyopotea)
“Jamal”, askari jeshi mwenye cheo cha sajenti, baada ya kusota sana bila kazi kutokana na kufukuzwa jeshini hatimaye anakutana na kocha Joramu ambaye alikuwa kocha wake wa mchezo wa ngumi(boxing) alipokuwa jeshini  na anampa Jamal  mwongozo wa maisha. Jamal anafurahia mafanikio yake yanayomuunganisha tena na familia yakae lakingi ghafla….???




Anti virus
Uzembe ni kitu kidogo unaweza kuleta madhara makubwa katika maisha kila jambo lafaa kufanyija kiumakini…Fuatilia kisa hiki cha ANTI-VIRUS...



 Pumba 
Ndoa inaweza kuwa ndoa, ndoa inaweza kuwa ndoano. Mazoea mabaya katika ndoa yanaweza kukufanya ujisahau mwanzoni lakini yakifika shingoni...


 Blood Test!
Wawili wakisha pendana kwamwe hakuna wakuwatenganisha...
Fitina .Uongo na hata roho mbaya haziwezi fanya lolote katika hili….Fuatilia