change the language of a blog

HUU NI UNYAMA




Hali ya ubinadamu inapotoweka mtu anaweza fanya jambo ambalo si lakawaida yaani ni lakinyama.Bi Janet mkazi wa Lagos,Nigeria amechomwa moto kwa petrol na mume wake,Kehinde Adesamuye, 39.
Hisia mbaya za mapenzi za kuhisi anaibiwa ndizo zilizomtoa hali ya kibinaadamu bwana Kehinde.
Janet alisema wakati wa tukio hilo, alikuwa katika eneo lake la biashara akiuza vyakula kabla ya Kehinde kufika hapo usiku huo na kumwagia petroli mgongoni kisha kuwasha moto kwa kutumia kibiriti.
 Kehinde alijaribu kutuma rafiki zake ili wamwombee msamaha kwa Janet lakini alikataa. Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na polisi kwa ajili ya kujibu mashtaka yanayomkabili.