change the language of a blog

UNAMKUMBUKA ANJALI MTOTO KATIKA KUCH KUCH HOTA HAE



Huyu ni yule mtoto aliigiza kama mtoto wa SHAHRUKH KHAN aliyezaliwa kisha mama yake RANI anafariki. Alipofikisha miaka 8 anapewa kitabu alichoachiwa na mama yake kinachohusu hadithi ya baba yake na rafiki wa baba yake KAJOL.
Sana Saeed.jpgJina lake halisi ni Sana Saeed, kazaliwa tarehe  22 September 1988, wakati anaigiza kuch kuch hota hae alikuwa na miaka 10 tu. Alijizolea umaarufu sana na kupelekea kupata tuzo mbalimbali.
Miaka imesogea sasa na katoto kamekuwa kikubwa, mwaka jana amecheza movie ya STUDENT OF THE YEAR akitumia jina la TANYA.