change the language of a blog

MOOST JAY AJA NA GREEN MESSAGE: SERIES MPYA NDANI YA TBC1

 
Mustapha J Kiroboto(Moost Jay) hazina iliyojificha kwa muda mrefu sana lakini sasa ni wakati wake kuwa dhahili machoni mwa jamii.Uandishi wa filamu na series ameenza kwa muda mrefu sana na nyingi tu mtakuwa mmeziona lakini kumjua hasa ni nani huyu MOOST JAY...........ilikuwa bado.
Series kama RED APPLE ni miongoni mwa series alizoziandika.
GREEN MESSAGE ni series mpya itakayorushwa na vituo vya TBC1&2  hivi karibuni,nadhani sasa ni wakati wenu wadau kumwangalia kwa makini zaidi kijana huyu ambaye amesimama kama WRITER&DIRECTOR.
Location wakati vijana wakijituma kufanya kazi itakoleta mvuto mzuri kwa watazamaji


Moja ya scene matata sana......yaani usikose kuangalia series hii.
Hisia zimejaa