change the language of a blog

WASTARA IS BACK!

Wastara mwanaamke shujaa aliyepigana na misukosuko mingi katika maisha yake, mwanamke mfano wa kuigwa baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na msiba wa mumewe kipenzi marehemu SAJUKI sasa amerudi tena katika tanisia hii ya filamu.Binafsi namkubaki sana katika fani hii ya filamu na hata katika maisha yake kiujumla. Watanzania ni muda wa kukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya. NUNUA NAKALA YAKO HALISI YA FILAMU YAKE MPYA "SHYAMAA"