change the language of a blog

RAY OUT!!!!! NDANI YA RJ





Nguli wa tansia ya filamu nchini Tanzania (Bongo movies), Vicent Kigosi almaarufu RAY" the greatest" amekula kibuti ndani ya filamu mpya ya RJ company, BAD LUCK. Wengi walimzoea RAY katika uchezaji kinara na uongozaji wa filamu nyingi za RJ lakini hali ni tofauti na sasa. Huwenda ni maamuzi yake binafsi kuamua kupumzika kidogo kwa sasa.
Filamu mpya ya BAD LUCK inaongozwa na Adamu Kuambiana huku ikiwa imetayarishwa na RAY mwenyewe.