change the language of a blog

KUTOKA BOLLYWOOD: SHAHRUKH KHAN NA MTU MZIMA AMITABH

Shahrukh Khan and Amitabh Bachchan 


Baada ya muda mrefu wawili hawa kutoonekana pamoja tangu 2008 katika BOOTHNATH sasa wankutanishwa tena katika Balki's film inayoandaliwa na Big B’s ABCL wakishirikiana na jumba la utayarishaji la Red Chilles Entertaiment ya SRK.Mara nyingi vinala hawa wa Bollywood wakisimama pamoja mambo yanakuwa si mchezo,tuliwaona kwenye KABHI KUSH KABHI GHAM,KABHI ALVIDA NAA KEHENA na MUHABATAIN.