change the language of a blog

MWANAMKE MMOJA AOLEWA NA WANAUME WATANO KWA WAKATI MMOJA

WANAUME HAWANA WIVU,TENDO LA NDOA KWA ZAMU,WOTE WANAISHI PAMOJA NA KUSHIRIKIANA PAMOJA.
Inawezekana lisiwe jambo la kwaida kwa tamaduni za kiafrika lakini kwa baadhi ya Wahindi hili ni jambo la kawaida sana.
Rajo Verma,21 ambaye ameolewa na ndugu watano kwa wakati mmoja na wote anaishi nao nyumba moja na huku tendo la ndoa likiwa ni kwa zamu.Gudu,21,ambaye ndiye alikuwa wa kwanza kumuuoa binti huyu kisha na ndugu zake wanne wakifatia ikiwa ni kudumisha tamaduni zao.Kwa upande wake Verma jambo hili lilikuwa gumu kwake mwanzoni lakini kwa sasa ameshazoea kwani hata mama yake alipitia hali hiyo.
UKISTAHAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FILAUNI.