change the language of a blog

BANG BANG YA HRITHIK ROSHAN NA KATRINA KAIF FANYA VIZURI SOKONI



Kama ilivyotarajiwa na wengi filamu mpya kutoka kwa super star wa Bollywood Hrithik Roshan na  mwanadada Katrina Kaif imefanya poa sana katika soko la India na nchi za nje.


Bang Bang BO Collection

0102030405060708090Day 1Day 2Day 327.5450100
Amount in crores
Data Source: koimoi.com

Kwa sasa imefanikiwa kuingia katika filamu 5 bora zilizoongoza katika mauzo ya ufunguzi, huku namba 1 ikishikiliwa na DHOOM 3. SRK na filamu yake ya CHENNAI EXPRESS imeshikilia nafasi ya 2