change the language of a blog

SIRI NZITO ILIYOMFANYA KANUMBA KUNG'AA, MANENO MENGI YANASEMWA

Hakika haitakuwa rahisi jina la marehemu Steven Kanumba kusahaulika katika tanisia ya filamu Afrika mashariki. Mengi yalizungumzwa sana baada ya kifo chake lakini ukweli ni kwamba kuna siri nzito sna katika mafanikio yake.
Wasanii wengi wa bongo movie wanaoitwa masupa staa wameshindwa kujua siri nzito ya Kanumba labda kwa wasanii wachache kama JB, CLOUD na TINO. Kuuvaa uhusika si jambo dogo na uwezo wa kubadilika kwa msanii katika filamu tofauti anazo cheza huo ndio usanii wa kweli. 
 
 
Tangu filamu ya "crazy of love" Kanumba aliyocheza chizi na filamu ya "uncle jj" inaonyesha jinsi gani alikuwa hajaegemea kwenye cast za ubosi na utajiri tu bali anauwezo wa kubalika kutokana na stori, hali imekuwa kinyume kwa wasanii wengine wanaopenda kuvaa vipuli vya maskioni tuu filamu zao zote.

 

Daima utakumbukwa, wewe ulikuwa star wa kweli