change the language of a blog

MPYA KALI KUTOKA BOLLYWOOD

     

Release Date: 14 March 2014

 

Release Date: 21 March 2014

Release Date: 28 March 2014

 

Release Date: 4 April 2014

Release Date: 11 April 2014

Release Date: 18 April 2014

Release Date: 25 April 2014


 

Release Date: 1 May 2014


 

Release Date: 9 May 2014


 

Release Date: 16 May 2014

 

WAREMBO 10 BORA WALIOIGIZA NA SHAH RUKH KHAN

Kajol Devgn 

 

Kajol Devgn ameigiza na Shahrukh Khan katika filamu ya Baazigar, Karan Arjun, Kuch Kuch Hota Hai, Kabhi Kushi Kabhi Gham, Dilwale Dulhaniya Le Jayenge and My name is Khan. Filamu zote hizi zilifanya vizuri katika mauzo. Mbali na kuigiza muhusika mkuu, Kajol pia ametokea katika special appearances katika  Kabhi Alvida Naa Kehna, katika nyimbo "Rock N Roll Soniye". pia "Phir Milenge Chalte Chalte"katika Rab Ne Bana Di Jodi, "Maahi Ve" katika Kal Ho Naa Ho na "Deewangi Deewangi" katika Om Shanti Om.
Source: Juhi Chawla Movies

Juhi Chawla

FILAMU: Raju ban gaya Gentleman, Darr, Pehla Nasha, Kabhi Haan Kabhi naa, Ram Jaane, Yes Boss, Duplicate, Phir bhi dil hai Hindustani, Raashq, One 2 ka 4, Paheli, Bhoothnath, Krazzy 4 and Luck by Chance.
Source: Rani Mukherji Movies

Rani Mukherji

FILAMU: Kuch Kuch Hota Hai, Har Dil jo Pyar Karega, Hey Ram, Chalte Chalte, Kal Ho naa Ho, Veer Zaara, Paheli, Kabhi Alvida naa Kehna and Saathiya.

Preity Zinta

FILAMU: Kal Ho naa ho, Veer Zaara and Kabhi Alvida naa kehna.


Source: Aishwarya Rai Bachchan Movies

Aishwarya Rai Bachchan

filamu: Mohabbatein , Devdas and Raashq (haijatoka bado). .




 
 
Source: Priyanka Chopra Movies

Priyanka Chopra

FILAMU: Don: The Chase Begins Again and Don 2.
 
 
 


 


 

 

 

 

Kareena Kapoor

FILAMU: Asoka and Ra-One.




Source: Madhuri Dixit Movies

Madhuri Dixit

FILAMU: Anjaam, Koyla, Dil to Pagal hai, Hum Tumhare Hain Sanam and Devdas.




Deepika Padukone

FILAMU: Om shanti om na Chennai express



.

Anushka Sharma

FILAMU: Rab Ne Bana Di Jodi na Jab Tak Hai Jaan 

NANI ALIYEFUNIKA KATIKA KUIGIZA UCHIZI KATI YA HAWA

NI TUMIE COMMENT YAKO KATIKA chuyamchuyae@gmail.com

FILAMU MPYA ZA KIHINDI HII JANUARY 2014



January

Release Date Film-Title Star-Cast Director Genre
Jan 3 Joe B. Carvalho Arshad Warsi, Soha Ali Khan, Jaaved Jaaferi, Paresh Rawal Sameer Tiwari Comedy
Jan 3 Sholay 3D Dharmendra, Amitabh Bachchan, Hema Malini, Sanjeev Kumar, Amjad Khan Ramesh Sippy Romance, Action
Jan 10 Dedh Ishqiya Arshad Warsi, Naseeruddin Shah, Madhuri Dixit, Huma Qureshi Abhishek Chaubey Thriller, Romance
Jan 10 Yaariyan Himansh Kohli, Serah Singh, Nicole Faria Divya Khosla Kumar Romance
Jan 17 Dare You Alisha Khan Denis Selarka, Mehul Simaria Thriller, Drama
Jan 17 Karle Pyaar Karle Shiv Darshan, Hasleen Kaur Rajesh Pandey Romance
Jan 17 Lakshmi Monali Thakur, Shefaali Shah, Ram Kapoor, Satish Nagesh Kukunoor Social, Drama
Jan 17 Miss Lovely Nawazuddin Siddiqui, Niharika Singh Ashim Ahluwalia Comedy
Jan 17 Paranthe Wali Gali Anuuj Saxena, Neha Pawar, Mohinder Gujral Sachin Gupta Romance, Comedy
Jan 24 Jai Ho Salman Khan, Daisy Shah, Tabu, Danny Denzongpa Sohail Khan Action
Jan 31 Babloo Happy Hai Sahil Anand, Erica Fernandes, Preet Kamal Nila Madhab Panda Comedy
Jan 31 One By Two Abhay Deol, Preeti Desai, Rati Agnihotri Devika Bhagat Comedy, Romance
Jan 31 Total Siyappa Ali Zafar, Yaami Gautam E Niwas Drama

TUZO ZA FILMFARE INDIA

Majina ya wagombea wa tuzo

Filmfare Bollywood Award, 

kutajwa Mumbai, India 15 Jan 2014 huku tuzo zikitarajiwa kutangazwa 24 jan 2014

FILAMU ZA KIHINDI: BAADA YA CHENNAI EXPRESS SHAHRUKH KHAN ANAKUJA NA HAPPY NEW YEAR

Baada ya kufanya vyema katika filamu ya chennai express, King wa Bollywood " Shah Rukh Khan" anakuja na HAPPY NEW YEAR, filamu inayomkutanisha tena na binti mrembo Deepika Padukone huku akimkaribisha SMALL B, Abishek  pamoja na IRAN BOMAN.
Kwa mjibu wa kalenda ya filamu, itakuwa sokoni october 2014.

KUTOKA BOLLYWOOD: UCHAFU WA HRITHIK ROSHAN "KRRISH" WAMFANYA MKEWE KUMWAGA MANYANGA

NI HALI ISIYOVUMILIKA kwa mwanamama Suzanne kwa mumewe Hrithik Roshan almaarufu "KRRISH" kama wengi wanavyomfahamu kupitia filamu yake hiyo.
Mkasa ulianza katika filamu ya KITE aliyocheza na mwanadada Barbara Mori "RUBY", baada ya scene kali za kimahaba ndipo Hrithik aliamua kuzama kabisa na kuiacha ndoa yake ikiteketea.
Hakuna lolote lililosemwa kutika katika familia ya ROSHAN lakini kuna uwezekano mkubwa wa Hrithik kuhama na kumwacha Suzanne katika nyumba yao kutokana kuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya Suzanne na familia ya ROSHAN
Hrithik-Suzanne divorce: Roshans to throw Hrithik out! (view pics)

ILIKUWA NI SIKU MUHIMU SANA KWANGU

Chuyam chuyae, upande wa kulia nikiwa na ndugu yangu Abdul Mdug wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha sayansi na teknoloji Mbeya

Wa kwanza kulia, Swahibu akifatiwa na Marry Isaka, wa katikati ni Chuyam Chuyae huku Glory elisante akiwa karibu naye na wa kwanza kushoto ni Nelson

was very fun in graduation, computer engineering wasnt easy but i made it

CHUYAM CHUYAE: MTOTO WA AISHWARYA RAI AWA MAARUFU KULIKO WAZAZI W...

CHUYAM CHUYAE: MTOTO WA AISHWARYA RAI AWA MAARUFU KULIKO WAZAZI W...:   Aaradhya Bachchan mtoto wa masupa staa wa bollywood aishwarya rai na abshek hawa gumzo sana katika vyombo vingi vya habari huku kila ha...

HUYU NDIYE MUSTAPHA J KIROBOTO, MWANDISHI WA SCRIPT.........KAMA HAUMJUI JARIBU KUMSOMA.


















Wito wa pili ulipenya masikioni kwangu taratibu nakunifanya nifungue macho yangu, sikutambua kwanini nililala, nika kutana na sura ya Anita, binti mrembo sana aliewahi kuwa mpenzi wangu moyo ulini ripuka sana na kuhisi ganzi ikiniandama mwili mzima, Anita alitabasam huku akiwa ameniinamia, kana kwamba alikuwa akisubiri kuongea nami, nilitaka kuamka nikagundua kuwa sikua na uwezo wa kufanya hivyo, kwani nilijihisi kama mtu nisie na mwili, kwa haraka nikajua mwili wangu umekufa ganzi ndio maana siusikii kuni sapot kwa ninacjokitaka, kitu cha ajabu eneo lile lilikuwa limetawaliwa na giza lenye kuzuia nuru ya macho, kuangaza upande wa kulia kwangu nikamuona mzee manata, (Babu yangu mzaa mama,, tuliemzika miaka sita iliyopita) hofu ikanizidi nikaanza kuhisi baridi kali sana maeneo ya kifua, nilipotaka kunyanyua mkono wangu ili nikiguse kifua changu nikajihisi kama sina mikono, Anita alisikitika kisha akaniambia "subiri Amon bado hawaja kuzika" kauli ya Anita ilinifanya nijihisi hali ambayo sikuwahi kuihisi tangu kuumbwa kwangu, Kusema ukweli niliamini kuwa nipo ndotoni, na yale mazingira ya eneo lile nikahisi kuwa ile ni ndoto tena ya kutisha, "Anita" nilimuita kwa sauti ambayo sikuwahi kuiongea, siluelewa ni kwanini kinywa changu kimetoa sauti ile, Anita akanituliza kisha akaniambia kuwa "bado ndugu zako hawajakuzika, hebu tulia ili mwili wako ukufikie ukiwa kamili kwani maisha ya huku ukiwa na upungufu wa kiungo chochote ni tabu sana ndio maana mungu anawarudishia viungo hata walemavu wa duniani pindi wanapifika sehemu hii" sikumuelewa kabisaa, kwani nipo wapi? Nilimuuliza anita Anita akamuangali mzee manata kisha mzee manata akavuka upande wa pili na kunisogezea kitu mfano wa shuka jeusi lililojaa vumbi, punde nikaiona hali ya Dunia kwenye ile shuka na wala haikufanana na sinema bali ilikua ni live, nikaonyeshwa nyumbani kwa baba yangu mzazi watu wakiwa wamejaa sana, wengine wanalia, nikaziona gari zangu tatu zimepaki nje mbele ya gari moja ya kubebea abiria wapo madereva wa magari ya kampuni yangu wanachangishana hela wakiwa na huzuni sana mmoja ameshika kitabu, muda mfupi niliziona gari sita zinaingia eneo lile moja ni gari ya kubebea maiti, nilijiuliza nani amefariki nyumbani kwa baba yangu? nikaamini tukio la msiba ndilo lililonifanya nipoteze faham na kufika eneo nililopo, lakini ni wapi nilipo? mbona pako tofauti na maisha ya kawaida? Wakati naendelea kujiuliza nilishangaa kumuona mke wangu kipenzi, mama furaha akitelemka toka garini kinamama majirani wamemshika akiwa hajiwezi, Analia kupitiliza, Dada zangu na mama yangu nao walikuwa hawajiwezi kwa kulia, tena walilia huku wakitaja jina langu eti nimekwenda nimewaacha, nilishikwa na butwaa nikiwa sielewi ninachokiona kinamaanisha nini, mara tena nikamuona Jeremia mdogo wangu anatelemka garini na kukumbatiana na baba yangu mzazi kisha akazunguruka nyuma ya gari akajiinamia na kuanza kulia, vijana akiwepo dany condacta wa moja ya magari ya kampuni yangu wakamzunguruka na kuanza kumfariji eti ajikaze kazi ya mungu haina makosa, nikawaona vijana kadhaa wameongozwa na kaka yangu mkubwa wakaiendea ile gari ya kubebea maiti, kauli moja aliyoiongea kaka ilinishitua eti alisema "Ndugu yangu kupata mafanikio kidogo tu wamemuondoa Duniani" kisha akaanza kulia, sikuwahi kumuona kaka yangu akilia hata siku moja misiba yote iliyopita, huu msiba ni wanani? Nilijiuliza bila wakunijibu, punde kijana mmoja alitelemsha msaraba ulioandikwa Amin Austane themiss, nilishangaa kuona jina langu kwenye ule msaraba, vijana wengine wakisaidiana na kaka yangu wakaanza kuteremsha jeneza,ila cha ajabu walipolinyanyua tu lile jeneza nika hisi kama nimenyanyuliwa mimi nikiwa ndani ya kitu ambacho siwezi kujizuia kinapoinamia upande mmoja, nilimsikia kaka yangu akisema "bebeni vizuri msiinamishe upande mmoja" mara nikajikuta nimekaa sawa ila nikijihisi kubebwa juu juu bado.

MTOTO WA AISHWARYA RAI AWA MAARUFU KULIKO WAZAZI WAKE

Aaradhya Bachchan mtoto wa masupa staa wa bollywood aishwarya rai na abshek hawa gumzo sana katika vyombo vingi vya habari huku kila hatua moja ikiwa inafatiliwa.
Akiwa amevalia pink alionekana ametokelezea sana, baadhi ya vyombo vya haabari vikiripoti mtoto ni noma na nguo zinamkaa sana.

FILAMU ZA KIHINDI: KAMA HUJAIONA ANGALIA SASA.......JOHNDAY

Ni filamu ya kusisimua sana iliyotaarishwa na  Anjum Rizvi, Aatef A Khan and K Asif huku Ahishor Solomon akiwa mwandishi na muongozaji wa filamu hii.
Kwa upamde wa vinara ni mtu mzima  Naseeruddin Shah huku akiwa na Randeep Hooda,Vipin Sharma, Shernaz Patel, Sharat Saxena na Elena Kazan.
si ya kukosa!!!!!

MPYA KUTOKA BONGO MOVIES

Lost Dream (Ndoto iliyopotea)
“Jamal”, askari jeshi mwenye cheo cha sajenti, baada ya kusota sana bila kazi kutokana na kufukuzwa jeshini hatimaye anakutana na kocha Joramu ambaye alikuwa kocha wake wa mchezo wa ngumi(boxing) alipokuwa jeshini  na anampa Jamal  mwongozo wa maisha. Jamal anafurahia mafanikio yake yanayomuunganisha tena na familia yakae lakingi ghafla….???




Anti virus
Uzembe ni kitu kidogo unaweza kuleta madhara makubwa katika maisha kila jambo lafaa kufanyija kiumakini…Fuatilia kisa hiki cha ANTI-VIRUS...



 Pumba 
Ndoa inaweza kuwa ndoa, ndoa inaweza kuwa ndoano. Mazoea mabaya katika ndoa yanaweza kukufanya ujisahau mwanzoni lakini yakifika shingoni...


 Blood Test!
Wawili wakisha pendana kwamwe hakuna wakuwatenganisha...
Fitina .Uongo na hata roho mbaya haziwezi fanya lolote katika hili….Fuatilia

FILAMU ZA KIHINDI ZINAZOONGOZA KWA MAUZO











1. CHENNAI EXPRESS
Directed by Rohit Shetty
cast: Shahrukh Khan and Deepika Padukone.

 
2. 3 IDIOTS
Directed by Rajkumar Hirani
cast: Aamir Khan, Kareena Kapoor.
 
 

3.EK THA TIGER
cast: Salman Khan and Katrina Kaif
Directed by Kabir Khan



4. Yeh Jawaani Hai Deewani
cast: Ranbir Kapoor and Deepika
directed by Ayan Mukerji
 
 
 

5. DABAANG2
cast: Salman Khan
Directed by Arbazz Khan

UNAMKUMBUKA ANJALI MTOTO KATIKA KUCH KUCH HOTA HAE



Huyu ni yule mtoto aliigiza kama mtoto wa SHAHRUKH KHAN aliyezaliwa kisha mama yake RANI anafariki. Alipofikisha miaka 8 anapewa kitabu alichoachiwa na mama yake kinachohusu hadithi ya baba yake na rafiki wa baba yake KAJOL.
Sana Saeed.jpgJina lake halisi ni Sana Saeed, kazaliwa tarehe  22 September 1988, wakati anaigiza kuch kuch hota hae alikuwa na miaka 10 tu. Alijizolea umaarufu sana na kupelekea kupata tuzo mbalimbali.
Miaka imesogea sasa na katoto kamekuwa kikubwa, mwaka jana amecheza movie ya STUDENT OF THE YEAR akitumia jina la TANYA.