change the language of a blog

OGOPA SANA WATU HAWA NI HATARI SANA


Unaweza jiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa watu,ni waigizaji mashughuli sana hapa nchini.Hakuna asiyewajua KING MAJUTO,JB na MONALISA,ni watu hatari sana.Umahili wao katika tanisia hii ya filamu ndio ulionishawishi kusema watu hawa ni hatari sana ,ogopa.Ingekuwa katika nchi nyingine duniani basi wangekuwa mbali sana kiuchumi hata kutambulika duniani.KING MAJUTO ni moto wa kuotea mbali katika comedy hapa BONGO.
Monalisa ni miongoni mwa wasanii wakike wenye kujiheshimu na pia kuuvaa uhusika vile inavyotakiwa.Si mimi tu ninayefutiwa na uigizaji wake,naamini watu wengi wanavutiwa sana naye,ni mwanadada makini sana na anajua nini anafanya



Eric Ford,Dj Ben,Bonge la bwana ndivyo wanavyomuita lakini wengi humjua kama JB,uwezo wake ni mkubwa sana katika filamu,anaweza kuigiza katika nafasi tofauti tofauti na katika hali tofauti na anauvaa uhusika vilivyo.OGOPA SANAWATU HAWA NI HATARI SANA

No comments: