MAHUSIANO YALIYOZUA GUMZO BOLLYWOOD
Salman Khan and Aishwarya Rai:
Walikuwa wapenzi kabla ya ASH kuolewa na Abhishek Bachchan,kuvunjika mahusiano yao kulikuwa ghafla sana na kila mtu hakutalajia kama meli ingeenda mlama.
Ness Wadia & Preity Zinta
Mara nyingi walionekana wana furaha sana na wengi wetu tulijua wangefunga ndoa punde si punde lakini mambo yalikuwa kinyume na matarajio ya wengi,mahusiano yalifunjika.
Ranbir Kapoor & Deepika Padukone
Mahusiano ya wawili hawa yalitawaliwa na vyombo vya habari,kila hatua yao moja ilikuwa katika luninga na kiukweli walipendezana sana.Lakini mtoto wa mama,RANBIR alitangaza kuachana na mrembo huyu kutoka BOLLYWOOD,Deepika.Katika kipindi cha KOFFEE with KARAN,Deepika alifunguka na kusema Ranbir alikuwa anam-cheat.
Karishma Kapoor and Abhishek Bachchan
Inasemekana wazazi wa pande zote walikuwa kikwazo kikubwa cha wawili hawa kuwa mwili mmoja.Jaya Bachchan, mama wa Abhishek na Babita,mama wa Karishma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment